Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Hebu tulia bhana... labda alibakwa au kalikuwa kamchezo ka utoto ka baba na mamaKwahesabu ya haraka haraka ulizaa ukiwa na umri wa miaka 20 tu! mtoto umri miaka 6 na wewe 27
Ahsante sana mtani. Endelea kuniombea nivishinde hivi vita vya kuishi mpwekeKila la kheri mtani
Ngoja nichangamkie fursa hapa0678672249
Haka kaswali kakijibiwa katapunguzia sana idadi ya wamendeaji.Uliolewa ukaachika au ulibebeshwa mimba tu?
Aisee wewe kiboko balaa si kidogo.
Nipo hapa mimi, tuwasiliane PMMmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Wewe una mke bwana,nitakusemea shauri yako.Umeanza kunipeperushia ndege wangu ujue... hebu mwambie blaza atulie kwanza bhana
dah nina 36 nishakosa mkeMwisho 35
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Mwanao ana umri gani? Nina kaka yangu hajaoa.
Baba yake mtoto Yuko wapi kafariki au yuko likizo anasubiri nan ajitokeze alele mwanae[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Elimu yako? Unafanya nini ili kusukuma maisha. Maana kaka yangu anafundisha UDSM. Lazima nitakapokuwa nampa info zako ataniuliza hayo maswali mawili.
Ndiyo anatafuta mke wa kuoa kabisa.Kaka yako anatafuta mke wa kuoa?
wape namba pm hapa hadharani watasumbua hadi watoto wa la 4C0678672249