Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Bora hawa wanaokuja hapa jukwaani na kuelezea hisia zao maana platform hii ni kubwa wana asilimia kubwa za kupata. Kunamwngine huko mtaani kaniomba nimuuunganishie kwa marafiki zangu wanaotaka kweli kuoa, ila tatizo ana watoto wawili lakini kimwonekano yuko vizuri sana, nikabaki najiuliza, na uzuri huo shida ilikuwa nini mpaka mtu akuzalishe watoto wawili halafu asikuoe na pia unakazi, nikabaki majibu sina. Tuwaombee dada zetu.
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Nipo hapa mimi, tuwasiliane PM
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Baba yake mtoto Yuko wapi kafariki au yuko likizo anasubiri nan ajitokeze alele mwanae[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom