Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Bora hawa wanaokuja hapa jukwaani na kuelezea hisia zao maana platform hii ni kubwa wana asilimia kubwa za kupata. Kunamwngine huko mtaani kaniomba nimuuunganishie kwa marafiki zangu wanaotaka kweli kuoa, ila tatizo ana watoto wawili lakini kimwonekano yuko vizuri sana, nikabaki najiuliza, na uzuri huo shida ilikuwa nini mpaka mtu akuzalishe watoto wawili halafu asikuoe na pia unakazi, nikabaki majibu sina. Tuwaombee dada zetu.