Natafuta mchumba wa kiume

Njoo pm tutete ya kwetu kwanza.
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahuni na upelelezi masimango na tamaa
 
Tatizo lao wanazama mazima kabisa. Kumbe jamaa ni hit and run sasa wao kutojielewa wanategesha.
 
Ndugu yangu haya mambo bana.

Uko na mkeo mmetulia mtu anaanza mara kuongea ongea kwenye simu ukiuliza unaambiwa ni baba wa mtoto. Mara anaanza kuja na kwako kumuangalia mwanae. Utamfukuza?
Kiutamaduni inatakiwa pindi baba wa mtoto anapotaka kuja kumuona mwanae sharti moja inatakiwa akutaarifu pindi akitaka kuja kumuangalia mtoto wake
 
40yrs vipi.... Nafanya warm up, ukikubali tu nazama mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…