Natafuta mchumba wa kiume

Ndugu yangu haya mambo bana.

Uko na mkeo mmetulia mtu anaanza mara kuongea ongea kwenye simu ukiuliza unaambiwa ni baba wa mtoto. Mara anaanza kuja na kwako kumuangalia mwanae. Utamfukuza?
Mara nimeitwa mahala fulani na baba wa mtoto,tukayajenge. Hapo ujue mtoto wa pili nae ni wa huyo huyo mwenye mtoto wa kwanza. Halafu usiombe wewe na huyu msiwe mmebahatika kupata mtoto.
 
Nina 42 tu 😀
Umri sawa na wangu mkuu,lakini najitosa hivyo hivyo kwenye kinyang'anyiro. Wapo wenye miaka 35 wengi tu ni wazee kuliko mimi wa 40. Hapa ni kujitosa mzima mzima.....![emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29

Mchumba wa kiume??, anafananaje huyo!!.🤣🤣
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
Mbona haujibu PM yangu...!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…