Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Mara nimeitwa mahala fulani na baba wa mtoto,tukayajenge. Hapo ujue mtoto wa pili nae ni wa huyo huyo mwenye mtoto wa kwanza. Halafu usiombe wewe na huyu msiwe mmebahatika kupata mtoto.Ndugu yangu haya mambo bana.
Uko na mkeo mmetulia mtu anaanza mara kuongea ongea kwenye simu ukiuliza unaambiwa ni baba wa mtoto. Mara anaanza kuja na kwako kumuangalia mwanae. Utamfukuza?