Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Mm ni mcha mungu ila navuta bangi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Damn!!!!!!
 
Nani anaoa mwenye mtoto skuiz [emoji23][emoji23] mechi inaanaga 0-0 sio 1-0, kazana utapata
 
Njoo dm
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndugu yangu haya mambo bana.

Uko na mkeo mmetulia mtu anaanza mara kuongea ongea kwenye simu ukiuliza unaambiwa ni baba wa mtoto. Mara anaanza kuja na kwako kumuangalia mwanae. Utamfukuza?
 
Baba niunganishe nae mimi. Mzigo mzito mpe mnyamwezi. Mnyamwezi ndio mimi.
Bora hawa wanaokuja hapa jukwaani na kuelezea hisia zao maana platform hii ni kubwa wana asilimia kubwa za kupata. Kunamwngine huko mtaani kaniomba nimuuunganishie kwa marafiki zangu wanaotaka kweli kuoa, ila tatizo ana watoto wawili lakini kimwonekano yuko vizuri sana, nikabaki najiuliza, na uzuri huo shida ilikuwa nini mpaka mtu akuzalishe watoto wawili halafu asikuoe na pia unakazi, nikabaki majibu sina. Tuwaombee dada zetu.
 
Back
Top Bottom