Uzi kama huu always tuwe makini sana... Hua napata shida sana eti mwanamke anakosa mchumba hadi anakuja JF kutafuta mchumba wakufunga nae ndoa.
Anaweka hadi number zake za simu,bila ya uoga wowote,na sisi wanaume tulivyo mafisi tunaenda inbox tunatoa number za simu.
Jaman sio wote wanaokuja humu kwa gia zakutafuta wachumba mme au mke,matangazo ya kazi,fursa na mambo mengineyo....
Wanaume wenzangu tuwe makini sana na hizi mambo,nilifanya ujinga kwa kwa mtu mmoja wa humu JF,hua najiuliza huyu dada asijekua ni geti jeusi,maana alinipa papuchi mara 4 nikala, ila hadi leo ile number aliyonipa haipo tena hewani,halafu ile account ya JF haipo pia... Duhh huyu dada ananipaga mawazo mazito sana kama lilivyo jina langu
Dada mzuri,mrembo presentable hayupo tena hewani si hapa JF au kwenye number aliyonipa,Dada hana shida ya pesa,anakunywa wine tu,hana papara na maisha,ukimwambia twende sehemu anakuja kwa bills zake... Huyu dada huyu sijui lakini