Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
Pmj mkuuKila la kheri
Pmj mkuuKila la kheri mkuu...
Sawa mkuuUkipata wawili nipasie mmoja mkuu
Kwamba wewe hunitaki..utaijutia hii nafasi unayochezea🙄🙄🙄Cammilla usije sema sikupendi
Nijutie kwanini?, au wewe ni malaika ehhKwamba wewe hunitaki..utaijutia hii nafasi unayochezea🙄🙄🙄
Nyaunyau 😂
Mtu kama mimi nipo ila unahangaika na Intelligent businessman, First lady wake ni mkali kama mbongo.Kwamba wewe hunitaki..utaijutia hii nafasi unayochezea🙄🙄🙄
Hata hivyo rais wetu ni mtakatifu sana 😂
Sana, ila najiuliza hata first lady pia ni jobless au 😁😁Hata hivyo rais wetu ni mtakatifu sana 😂
Siyo jobless na amemwambia asijisahau sana anaweza temwa kavukavu 😂Sana, ila najiuliza hata first lady pia ni jobless au 😁😁
Ushirikina huu 🤣😂Siyo jobless na amemwambia asijisahau sana anaweza temwa kavukavu 😂
😅😅 punguza sauti watu wasisikie hizi tetesi sio zuri kwa chama chetuSiyo jobless na amemwambia asijisahau sana anaweza temwa kavukavu 😂
Namaanisha hiyo manzi inayo niambia Nita jutia niki ikosa🤣😂