Natafuta mchumba wa kuanzisha naye familia

Natafuta mchumba wa kuanzisha naye familia

Mchukue faiza fox mnaendana sana ila muepuke mshangazi.com maana ni mkahaba mbobevu
 
Nijutie kwanini?, au wewe ni malaika ehh

Selikavu, dosho12, Razorblade kume kucha 😂🤣.
Mbona kama bado anapumua piga vizuri 🤣
4H7A6108.JPG
 
Sasa kamanda tuseme Mungu akupe hitaji lako.

Ila unaposema Mbeya, Mbeya ni kubwa kinyama.
Sema upo wilaya ya Mbarali ubaruku, Igawa,Chimala, Igulusi, Inyonga na meno kibao.

Use me Chunya nayo Ina maeneo chekwa kama Chunya mjini pale, makongorosi, matundasi

Ukisema Rungwe, nako pakubwa

Ukisema Kyela

Aubeya vijijini kuanzia mbalizi mpaka inyala.
 
Back
Top Bottom