Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Pmj mkuuKila la kheri
Pmj mkuuKila la kheri mkuu...
Sawa mkuuUkipata wawili nipasie mmoja mkuu
Kwamba wewe hunitaki..utaijutia hii nafasi unayochezeaπππCammilla usije sema sikupendi
Nijutie kwanini?, au wewe ni malaika ehhKwamba wewe hunitaki..utaijutia hii nafasi unayochezeaπππ
Nyaunyau π
Mtu kama mimi nipo ila unahangaika na Intelligent businessman, First lady wake ni mkali kama mbongo.Kwamba wewe hunitaki..utaijutia hii nafasi unayochezeaπππ
Hata hivyo rais wetu ni mtakatifu sana πKijana anataka kurudisha kadi ya uanachama wa kataa ndoa
usikute ni Selikavu huyu kaja kivingineππ
Sana, ila najiuliza hata first lady pia ni jobless au ππHata hivyo rais wetu ni mtakatifu sana π
Siyo jobless na amemwambia asijisahau sana anaweza temwa kavukavu πSana, ila najiuliza hata first lady pia ni jobless au ππ
Ushirikina huu π€£πSiyo jobless na amemwambia asijisahau sana anaweza temwa kavukavu π
π π punguza sauti watu wasisikie hizi tetesi sio zuri kwa chama chetuSiyo jobless na amemwambia asijisahau sana anaweza temwa kavukavu π
Namaanisha hiyo manzi inayo niambia Nita jutia niki ikosaπ€£πKijana anataka kurudisha kadi ya uanachama wa kataa ndoa
usikute ni Selikavu huyu kaja kivingineππ