Natafuta mchumba wa kuanzisha naye familia

Mchukue faiza fox mnaendana sana ila muepuke mshangazi.com maana ni mkahaba mbobevu
 
Sasa kamanda tuseme Mungu akupe hitaji lako.

Ila unaposema Mbeya, Mbeya ni kubwa kinyama.
Sema upo wilaya ya Mbarali ubaruku, Igawa,Chimala, Igulusi, Inyonga na meno kibao.

Use me Chunya nayo Ina maeneo chekwa kama Chunya mjini pale, makongorosi, matundasi

Ukisema Rungwe, nako pakubwa

Ukisema Kyela

Aubeya vijijini kuanzia mbalizi mpaka inyala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…