Natafuta mchumba wa kudumu

Natafuta mchumba wa kudumu

Mwenye utayari, financially awe anajiweza
wakawaida kiumbo, sio lazma pisi kali😃
20-23 years,
Elimu level yoyote.
Mweusi/ mweupe
Mvumilivu ,charming sana
Mengine tutarekebishana
profile ya jini hiyo. Binti wa 23 si rahisi akubali kuolewa tz ya sasa.
 
hivyo viumri vyako vya 22-23 ulitaka kusema bikra ukaamua kutumia tafsida,vitakusumbua sana. Hivyo vi-umri vingi vyao japo sio vyote bado akili maji na macho juu juu kama alivyosema bro Mshana Jr hapo juu.
Asante kwa ushauri ,kwahy ni cancell kabisa ?
 
Asante kwa ushauri ,kwahy ni cancell kabisa ?
sijajua umri wako...ila kama utakuwa below 30...umri huo inabidi uwe umeshaya-experience sana maisha ya mahusiano na mibususu kwa kucheza faulo nyingi sana za kuacha na kuachwa ndio atleast utamudu kudumu na mke mda mrefu kidogo,vinginevyo kama umetoka chuo tu ukapata kazi then unataka mke bado shida itakuwa karibu zaidi...kumbuka mke ni zaidi ya uhakika wa mbususu na kupata watoto.
...But at the end of the day mambo haya hayana formular maalum. Ishi chaguo lako, ishi furaha yako.
 
sijajua umri wako...ila kama utakuwa below 30...umri huo inabidi uwe umeshayaexperience sana maisha ya mahusiano na mibususu kwa kucheza faulo nyingi sana za kuacha na kuachwa ndio atleast utamudu kudumu na mke mda mrefu kidogo,vinginevyo kama umetoka chuo tu ukapata kazi then unataka mke bado shida itakuwa karibu zaidi...kumbuka mke ni zaidi ya uhakika wa mbususu na kupata watoto.
...But at the end of the day mambo haya hayana formular maalum. Ishi chaguo lako, ishi furaha yako.
Nimekuelewa vema mkuu,ni Bora kuexperience kwahy haihitaji kuwa serious sana kwa Sasa ,ntatulia kuchanganua Mambo kujua maamuzi sahihi ,ila haizuii kuanzisha life na wandoto
 
Nimekuelewa vema mkuu,ni Bora kuexperience kwahy haihitaji kuwa serious sana kwa Sasa ,ntatulia kuchanganua Mambo kujua maamuzi sahihi ,ila haizuii kuanzisha life na wandoto
umenipata vyema!anzisha maisha yako tu suala la mke nature ita-select na nafsi yako itakuambia huyu ndiye mke,at that point usirudi nyuma.
 
Ni kweli Sasa ayo ni malengo ya watu wawili mkuu,umekaba kweny Kona sana
shida vijana wengi mnadhani mke ni ngono. mke ni zaidi ya hicho. kuwa makini na machakato wa kupata mke.
 
shida vijana wengi mnadhani mke ni ngono. mke ni zaidi ya hicho. kuwa makini na machakato wa kupata mke.
Umeenda mbali ila ukisikia mtu.anatafuta mwenza manake kashajitathimini ,sex sio kipaumbele
 
Ukimpata toa mrejesho maana dhana ipo kuwa Jf hakuna wanawake wa umri huo..
 
Back
Top Bottom