Oubobe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2022
- 360
- 801
Usipende kusubiriPamoja ,ngoja tuzidi kusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kusubiriPamoja ,ngoja tuzidi kusubiri
Sure ,nifanye nn Sasa mkuu?Usipende kusubiri
Ingia mtaani piga msako wa pisi mtaa kwa mtaa door to door, usisubiriSure ,nifanye nn Sasa mkuu?
Aah,izo sio lengo langu natak great thinker wa jf najua lazma ntapata humu wa kuanza nae lifeIngia mtaani piga msako wa pisi mtaa kwa mtaa door to door, usisubiri
Humu utasubiri saana, kumpata Tausi.. kudadek si uzoba huuAah,izo sio lengo langu natak great thinker wa jf najua lazma ntapata humu wa kuanza nae life
Yeah ila si wengiAsante , kiongozi ila wapo waliotulia tuta adapt na mazingira
profile ya jini hiyo. Binti wa 23 si rahisi akubali kuolewa tz ya sasa.Mwenye utayari, financially awe anajiweza
wakawaida kiumbo, sio lazma pisi kali😃
20-23 years,
Elimu level yoyote.
Mweusi/ mweupe
Mvumilivu ,charming sana
Mengine tutarekebishana
Mkuu sio kuoana ,ndoa ni malengo Kuna uchumba mpk 5 years before ndoaprofile ya jini hiyo. Binti wa 23 si rahisi akubali kuolewa tz ya sasa.
mwanamke aliyekufuata kwa lengo la ndoa hawezi akakubali umpotezee muda kwa miaka 5.Mkuu sio kuoana ,ndoa ni malengo Kuna uchumba mpk 5 years before ndoa
sijajua umri wako...ila kama utakuwa below 30...umri huo inabidi uwe umeshaya-experience sana maisha ya mahusiano na mibususu kwa kucheza faulo nyingi sana za kuacha na kuachwa ndio atleast utamudu kudumu na mke mda mrefu kidogo,vinginevyo kama umetoka chuo tu ukapata kazi then unataka mke bado shida itakuwa karibu zaidi...kumbuka mke ni zaidi ya uhakika wa mbususu na kupata watoto.Asante kwa ushauri ,kwahy ni cancell kabisa ?
Ni kweli Sasa ayo ni malengo ya watu wawili mkuu,umekaba kweny Kona sanamwanamke aliyekufuata kwa lengo la ndoa hawezi akakubali umpotezee muda kwa miaka 5.
Nimekuelewa vema mkuu,ni Bora kuexperience kwahy haihitaji kuwa serious sana kwa Sasa ,ntatulia kuchanganua Mambo kujua maamuzi sahihi ,ila haizuii kuanzisha life na wandotosijajua umri wako...ila kama utakuwa below 30...umri huo inabidi uwe umeshayaexperience sana maisha ya mahusiano na mibususu kwa kucheza faulo nyingi sana za kuacha na kuachwa ndio atleast utamudu kudumu na mke mda mrefu kidogo,vinginevyo kama umetoka chuo tu ukapata kazi then unataka mke bado shida itakuwa karibu zaidi...kumbuka mke ni zaidi ya uhakika wa mbususu na kupata watoto.
...But at the end of the day mambo haya hayana formular maalum. Ishi chaguo lako, ishi furaha yako.
umenipata vyema!anzisha maisha yako tu suala la mke nature ita-select na nafsi yako itakuambia huyu ndiye mke,at that point usirudi nyuma.Nimekuelewa vema mkuu,ni Bora kuexperience kwahy haihitaji kuwa serious sana kwa Sasa ,ntatulia kuchanganua Mambo kujua maamuzi sahihi ,ila haizuii kuanzisha life na wandoto
shida vijana wengi mnadhani mke ni ngono. mke ni zaidi ya hicho. kuwa makini na machakato wa kupata mke.Ni kweli Sasa ayo ni malengo ya watu wawili mkuu,umekaba kweny Kona sana
Umeenda mbali ila ukisikia mtu.anatafuta mwenza manake kashajitathimini ,sex sio kipaumbeleshida vijana wengi mnadhani mke ni ngono. mke ni zaidi ya hicho. kuwa makini na machakato wa kupata mke.
😀😀😀😳😳😁😁 Ataambulia virungu.Mleta mada anaomba maji ya kunywa kituo cha polisi.