[emoji23][emoji23]Namba sitoi . Nikirudhika nawewe nakupa namba ya Baba yangu uongee nae kama uko seruous na sitawasiliana nawe sehemu faragha isipikuwa nyumbani na lazima tuwe na kaka yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mpagani ninafaa?
Akikujibu nitag mkuuLakini nikuulize kidogo
Hakuna vijana wanaokutafuta tafuta Apo mtaani kwenu?
kelphin kepph
Sikiliza katika uislam bab ndie walii wa ndoa. Yaan ndie anaeniozesha kwa mume nimpendae . Hivyo anajukum kubwa saana juu yangu. Mfano mimi hata nikitokea kumpenda mwanamume kisha nikamueleza Baba halafu Baba akaona hajaridhika na tabia ya huyo anaetaka kunioa anahaki ya kukataa na ndoa haiwez kufungwa..
HAPA KUNA HARUFU YA MTU KULIZWA KWA MAELEZO YAKO HAYA UTAWAPATA WANAUME WA MKOANI TUNamba sitoi . Nikirudhika nawewe nakupa namba ya Baba yangu uongee nae kama uko seruous na sitawasiliana nawe sehemu faragha isipikuwa nyumbani na lazima tuwe na kaka yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yake yana ukakasiUna uhakika umefikisha miaka 20?.
Kwanini kaka yako awepo kama wewe una miaka 18+?.
Ina maana kabla hamjafunga 'ndoa' auhitaji kupata muda wa kumjua mume wako mtarajiwa?. Au kaka yako ndio atakusaidia kumjua ndio maana inabidi awepo.?
Hapa kuna utapeli mtu atalizwa
Namba sitoi . Nikirudhika nawewe nakupa namba ya Baba yangu uongee nae kama uko seruous na sitawasiliana nawe sehemu faragha isipikuwa nyumbani na lazima tuwe na kaka yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPA KUNA HARUFU YA MTU KULIZWA KWA MAELEZO YAKO HAYA UTAWAPATA WANAUME WA MKOANI TU
Hakuna utapelii . Huenda unadhani labda kunatapeli. Nikuhakikishie kuwa hautaombwa hata mia mbovu we kama uko serious kariibHapa kuna utapeli mtu atalizwa
Huyo wa Dodoma ni wenu hatumtaki kwanza kwasasa tupo busy na HamidaTukiwa kama wanaume wa mkoani tunashkuru kwa ofa hio ila hatuwezi kutokana kubanwa na ratiba hivyo basi huyo tunawaachia wanaume wa dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini yako?Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri dear.Katika sheria ya dini yangu ya kiislam mwanamke hatakiwi kukaa faragha na mwanamume ispokuwa awepo mtu mwingine ambae ni mahariim yaan haruhusiwi kumuoa . Ndio maana nikasema ni lazima niwe na kaka ili usijenishawishi ujinga .
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana hata umri wake haujui, bado mtoto huyuYaan bado hajajua ndoa ni makubaliano ya watu wawili uyu mtoto sasa hapo baba na kaka wameingiaje? Kwamba atongozwe baba au kaka???
Ok, kila la kheri bibie ila nimekupm hujanijibuSikiliza katika uislam bab ndie walii wa ndoa. Yaan ndie anaeniozesha kwa mume nimpendae . Hivyo anajukum kubwa saana juu yangu. Mfano mimi hata nikitokea kumpenda mwanamume kisha nikamueleza Baba halafu Baba akaona hajaridhika na tabia ya huyo anaetaka kunioa anahaki ya kukataa na ndoa haiwez kufungwa..
Ndio maana nimesema nikiridhika nawewe nitakachofanya nikumtumia namba ya baba yangu na sio yakwangu ili aelekezwe napoishi kisha aje nyumbani aongee na Baba kisha ndio tuonane nae tukiwa pamoja na kaka yangu . Baada ya hapo kama yupo tayari ataleta mahari ndoa ifungwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Replies zako huko majukwaa ya siasa zinatia shakaMimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee
Sent using Jamii Forums mobile app