Sikiliza katika uislam bab ndie walii wa ndoa. Yaan ndie anaeniozesha kwa mume nimpendae . Hivyo anajukum kubwa saana juu yangu. Mfano mimi hata nikitokea kumpenda mwanamume kisha nikamueleza Baba halafu Baba akaona hajaridhika na tabia ya huyo anaetaka kunioa anahaki ya kukataa na ndoa haiwez kufungwa..
Ndio maana nimesema nikiridhika nawewe nitakachofanya nikumtumia namba ya baba yangu na sio yakwangu ili aelekezwe napoishi kisha aje nyumbani aongee na Baba kisha ndio tuonane nae tukiwa pamoja na kaka yangu . Baada ya hapo kama yupo tayari ataleta mahari ndoa ifungwe
Sent using
Jamii Forums mobile app