Natafuta mchumba wa kunioa

Natafuta mchumba wa kunioa

unaweza style gani kwenye sex??? au ndo ile ile missionary position? maana wengine hiyo tunatumia tukiwa tunataka kumaliza game tu!! standing style , doggy style, sideways style, na zingine za kibabe unaweza kuzimudu hizi....maana vijana ndo shows zetu hizi za maangamizi

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Eti uongee na baba!! Kwani baba ndiye mwolewaji?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza katika uislam bab ndie walii wa ndoa. Yaan ndie anaeniozesha kwa mume nimpendae . Hivyo anajukum kubwa saana juu yangu. Mfano mimi hata nikitokea kumpenda mwanamume kisha nikamueleza Baba halafu Baba akaona hajaridhika na tabia ya huyo anaetaka kunioa anahaki ya kukataa na ndoa haiwez kufungwa..

Ndio maana nimesema nikiridhika nawewe nitakachofanya nikumtumia namba ya baba yangu na sio yakwangu ili aelekezwe napoishi kisha aje nyumbani aongee na Baba kisha ndio tuonane nae tukiwa pamoja na kaka yangu . Baada ya hapo kama yupo tayari ataleta mahari ndoa ifungwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba sitoi . Nikirudhika nawewe nakupa namba ya Baba yangu uongee nae kama uko seruous na sitawasiliana nawe sehemu faragha isipikuwa nyumbani na lazima tuwe na kaka yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
HAPA KUNA HARUFU YA MTU KULIZWA KWA MAELEZO YAKO HAYA UTAWAPATA WANAUME WA MKOANI TU
 
Una uhakika umefikisha miaka 20?.
Kwanini kaka yako awepo kama wewe una miaka 18+?.
Ina maana kabla hamjafunga 'ndoa' auhitaji kupata muda wa kumjua mume wako mtarajiwa?. Au kaka yako ndio atakusaidia kumjua ndio maana inabidi awepo.?
Maelezo yake yana ukakasi
 
Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee

Sent using Jamii Forums mobile app
Dini yako?
 
Sikiliza katika uislam bab ndie walii wa ndoa. Yaan ndie anaeniozesha kwa mume nimpendae . Hivyo anajukum kubwa saana juu yangu. Mfano mimi hata nikitokea kumpenda mwanamume kisha nikamueleza Baba halafu Baba akaona hajaridhika na tabia ya huyo anaetaka kunioa anahaki ya kukataa na ndoa haiwez kufungwa..

Ndio maana nimesema nikiridhika nawewe nitakachofanya nikumtumia namba ya baba yangu na sio yakwangu ili aelekezwe napoishi kisha aje nyumbani aongee na Baba kisha ndio tuonane nae tukiwa pamoja na kaka yangu . Baada ya hapo kama yupo tayari ataleta mahari ndoa ifungwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, kila la kheri bibie ila nimekupm hujanijibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni msichana ninaishi dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu mwembamba , mweupe . Nahitaji mwanaume awe serious na si kunisumbua Pm.
Ukija Pm nitakuhoji maswali nikiridhika ndio tukubalianee

Sent using Jamii Forums mobile app
Replies zako huko majukwaa ya siasa zinatia shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom