Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

Kama ww una miaka 24 heshima yako! Hv vigezo ulivoviweka ni ngumu kuvikuta Kwa binti mwenye umri sawa na ww!
Kama upo kwenye mahangaiko ya kibiashara means Kuna unaokutana nao jaribu kuangalia huko humu sidhan kama utapata wa hvo!

Humu Kwa dini yako Kuna lishangazi linaitwa Faiza unaweza unganalo trela

Tupo sawa kiumri lakini binafsi hata idea ya ndoa Sina🤣
 
Kama ww una miaka 24 heshima yako! Hv vigezo ulivoviweka ni ngumu kuvikuta Kwa binti mwenye umri sawa na ww!
Kama upo kwenye mahangaiko ya kibiashara means Kuna unaokutana nao jaribu kuangalia huko humu sidhan kama utapata wa hvo!

Humu Kwa dini yako Kuna lishangazi linaitwa Faiza unaweza unganalo trela

Tupo sawa kiumri lakini binafsi hata idea ya ndoa Sina[emoji1787]
Kwenye biashara zangu huwa mara nyingi ni ngumu kukutana wanawake wenye tabia nilizoweka apo

Ila nikweli ni ngumu kupata mwanamke mwenye vigezo vyangu nilijaribu ninapokaa sikufanikiwa kupata hata kwenye mihangaiko yako nako pia ni hivo hivo mkuu

Ndio maana nimekuja humu JF kwasababu ninaimaani kuwa wanawake wenye upeo kidogo na maisha
 
Sihitaji kula bata nahitaji mke nianzishe familia yangu naona fahari kuhudumia familia yangu
Hudumia familia yako mkuu. Kwa sasa huyo msichana wa miaka 24 kushuka chini, mweupe na mwenye kazi yake aliyetulia huwezi kumpata.
 
Maana hayo unayoita maarifa huko sidhani kama yatakusaidia hivyo unavyosema.Any way pambana tu kwa nn hayo maarifa yasikusaidie kupata mke mazingira uliyopo unakuja kutafuta huku
Elimu ya biashara na elimu ya mahusiano ni vitu viwili tofauti mkuu
 
Hudumia familia yako mkuu. Kwa sasa huyo msichana wa miaka 24 kushuka chini, mweupe na mwenye kazi yake aliyetulia huwezi kumpata.
Kipengele cha miaka sijaweka mkuu kwamba lazima awe 24 kushuka chini apana hata miaka ata akiwa na miaka 28 naye pia anafaa ilimradi awe binti wa makamu

Kuhusu familia yangu hawahitaji mimi kuwahudumia kwakuwa wanajiweza hivo nipo huru na matumizi yangu
 
Kwenye biashara zangu huwa mara nyingi ni ngumu kukutana wanawake wenye tabia nilizoweka apo

Ila nikweli ni ngumu kupata mwanamke mwenye vigezo vyangu nilijaribu ninapokaa sikufanikiwa kupata hata kwenye mihangaiko yako nako pia ni hivo hivo mkuu

Ndio maana nimekuja humu JF kwasababu ninaimaani kuwa wanawake wenye upeo kidogo na maisha
Kila la kheri kaka! Humu usipokua makini utaoa mtu ana mkia mbele au shangazi!
 
Kipengele cha miaka sijaweka mkuu kwamba lazima awe 24 kushuka chini apana hata miaka ata akiwa na miaka 28 naye pia anafaa ilimradi awe binti wa makamu

Kuhusu familia yangu hawahitaji mimi kuwahudumia kwakuwa wanajiweza hivo nipo huru na matumizi yangu
Sawa kaka acha sisi tuendelee na kina chino
 
Back
Top Bottom