Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
We nan kakwambia nafsi inatulizwa na mwanamke?Nahitaji mke nipate kitulizo cha nafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nan kakwambia nafsi inatulizwa na mwanamke?Nahitaji mke nipate kitulizo cha nafsi
🤣🤣🤣🤣Miaka 24 inabidi uwe na wanangu kina chinoo mnatoka batani
Sihitaji kula bata nahitaji mke nianzishe familia yangu naona fahari kuhudumia familia yanguMiaka 24 inabidi uwe na wanangu kina chinoo mnatoka batani
Mke bora ni tulizo la nafsi kwa wanaume kama ulikuwa haujuiWe nan kakwambia nafsi inatulizwa na mwanamke?
madogo wanapenda ukubwa😂Miaka 24 inabidi uwe na wanangu kina chinoo mnatoka batani
Kwanini ni test wakati ndoa ni jambo la usiriazmadogo wanapenda ukubwa[emoji23]
hapo ameandika hajawahi kua kwenye mahusiano, badala atesti kwanza anataka kuingia kichwa kichwa[emoji23]
we wahi kuoa uone moto wake😂Kwanini ni test wakati ndoa ni jambo la usiriaz
[emoji16][emoji16] ikitokea kapigwa pigo la kigaidi ndio utaskia kajirusha ghorofani!madogo wanapenda ukubwa[emoji23]
hapo ameandika hajawahi kua kwenye mahusiano, badala atesti kwanza anataka kuingia kichwa kichwa[emoji23]
All the best.Mimi situmii facebook mkuu na wala mimi sikai kijijini nimekuja JF lengo kutafuta mke humu naimani JF ni mtandao watu wenye upeo kidogo na maisha
Kuhusu kutafuta mchumba mtaani kwangu aisee hili hapana kwasababu ya kulinda privacy yangu
Kwenye biashara zangu huwa mara nyingi ni ngumu kukutana wanawake wenye tabia nilizoweka apoKama ww una miaka 24 heshima yako! Hv vigezo ulivoviweka ni ngumu kuvikuta Kwa binti mwenye umri sawa na ww!
Kama upo kwenye mahangaiko ya kibiashara means Kuna unaokutana nao jaribu kuangalia huko humu sidhan kama utapata wa hvo!
Humu Kwa dini yako Kuna lishangazi linaitwa Faiza unaweza unganalo trela
Tupo sawa kiumri lakini binafsi hata idea ya ndoa Sina[emoji1787]
Hapana ndoa ni jambo la heri na ni baraka tumefundishwa kuharakisha ndoa ukifikia kubalehewe wahi kuoa uone moto wake[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ilo pigo la kigaidi ni kama lipi mpaka linifanye mimi kujirusha ghorofani[emoji16][emoji16] ikitokea kapigwa pigo la kigaidi ndio utaskia kajirusha ghorofani!
Hudumia familia yako mkuu. Kwa sasa huyo msichana wa miaka 24 kushuka chini, mweupe na mwenye kazi yake aliyetulia huwezi kumpata.Sihitaji kula bata nahitaji mke nianzishe familia yangu naona fahari kuhudumia familia yangu
Elimu ya biashara na elimu ya mahusiano ni vitu viwili tofauti mkuuMaana hayo unayoita maarifa huko sidhani kama yatakusaidia hivyo unavyosema.Any way pambana tu kwa nn hayo maarifa yasikusaidie kupata mke mazingira uliyopo unakuja kutafuta huku
Kipengele cha miaka sijaweka mkuu kwamba lazima awe 24 kushuka chini apana hata miaka ata akiwa na miaka 28 naye pia anafaa ilimradi awe binti wa makamuHudumia familia yako mkuu. Kwa sasa huyo msichana wa miaka 24 kushuka chini, mweupe na mwenye kazi yake aliyetulia huwezi kumpata.
Kila la kheri kaka! Humu usipokua makini utaoa mtu ana mkia mbele au shangazi!Kwenye biashara zangu huwa mara nyingi ni ngumu kukutana wanawake wenye tabia nilizoweka apo
Ila nikweli ni ngumu kupata mwanamke mwenye vigezo vyangu nilijaribu ninapokaa sikufanikiwa kupata hata kwenye mihangaiko yako nako pia ni hivo hivo mkuu
Ndio maana nimekuja humu JF kwasababu ninaimaani kuwa wanawake wenye upeo kidogo na maisha
Sawa kaka acha sisi tuendelee na kina chinoKipengele cha miaka sijaweka mkuu kwamba lazima awe 24 kushuka chini apana hata miaka ata akiwa na miaka 28 naye pia anafaa ilimradi awe binti wa makamu
Kuhusu familia yangu hawahitaji mimi kuwahudumia kwakuwa wanajiweza hivo nipo huru na matumizi yangu
Ameen Ameen tuendelee kuombeanaKila la kheri kaka! Humu usipokua makini utaoa mtu ana mkia mbele au shangazi!
Hamna shida kakaSawa kaka acha sisi tuendelee na kina chino