Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

mama unatafuta mume au buz kudadek mbona hil la kazi na kipato umekazania kama chakula aisee au hiz vipato ndo vinakuridhisha wew kitandani na kimoyo GROWN UP Degree holder
 
Karibu mrembo nipo
 
Imepita takriban wiki moja sasa. Bidada hujatupa mrejesho, bado tu hujapata mwenza au hata watu ambao wanasifa ulizotaja?
 
Mi naomba hiyo nafasi
Ni mtanashati
Handsome la nguvu !
Sio bahiri wa kuhonga na pesa nnayo!
Kazi yangu naibaga mafuta ya transfomer.
Nimejenga na nna magari mawili njoo mamy tule maisha!!!
 
 
Huyo uliemchoka anajua kachokwa?
Na wewe ulikua unatoka na mme wa mtu, wenzako wakitoka na mmeo utamaind?
 
Mm mbya sura yangu mbuz nina phd yangu ya ufugaj nyuki pesa zpo kwa ckuu natumia bilion 5. Kaz kwa hansome bila pesa
 
Kweli kiongozi
 
Ukiachilia mbali hiyo degree huna kautalaamu kausangoma kweli?Maana hayo masharti haya pishani sana na watoa ndagu!
 
Njoo inbox
 
asiye mbahili??? nyie ndio mnasuka nywele za laki aaafu mnaendelea kufurahia nyumba za kupanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…