Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mrembo nipoMimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Huyo uliemchoka anajua kachokwa?Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
TumbuuuuaUmepimwa apoo lakin hujaonyesha vigezo [emoji603]
[emoji23][emoji23]Hivi ni kweli una degree au umetudanganya? Kazi ipo.
Kweli kiongoziDah! Hiyo "dear" kama nimeisikia hivi jinsi ulivyoitamka! It sounds so beautiful... niny, hebu punguza hizo requirements bhana! Hao ma-handsome wapiga pamba mtaishia kugombania dressing table 2 na kuibiana poda! Hebu weka requirements za kiporipori watu tutume cv zetu!
Matusi gani kayatoa hapo?Binti huna uvumilivu namna hii si nyumba itakua darasa la mitusi sasa?
Hizi elimu za hiki kipindi ndio maana wakatimuliwa pale Dom
Njoo inboxMimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Usiangalie diniMhhhhhh