Natafuta mchumba wa kuweza kuoana na kujenga familia

Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana umri miaka 26, muislamu, elimu ya chuo kikuu, muajiriwa serikalini. Natafuta mchumba umri 32+, muislamu mwenye hofu ya Mungu, elimu ya chuo kikuu, kabila lolote lile.

Kwa mawasiliano zaidi PM,

Shukrani
Umeshapata? Kama bado nifuate PM tuone tutaishia wapi japo kwenye Preliminary stage you have it for me. Karibu
 
Mwenzio anatafuta mchumba wewe wamletea biashara za ardhi, wabongo bhana![emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Unaleta udini hadi kuoana subiri watakuja wenzako wanaandama angalau hata wafungwa waliopo gerezani waje wawaoe wewe unaweka mashart mara degree Mara muislam ikifika miaka 30 niite
Shida iko wapi hata unamlaumu? Kuoa au kuolewa sio jambo la kubahatisha hivyo kuwela vigezo ni jambo sahihi zaidi. Tafuta wasio na masharti wako kibao ila kwa hili nitamtetea japo simjui.
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana umri miaka 26, muislamu, elimu ya chuo kikuu, muajiriwa serikalini. Natafuta mchumba umri 32+, muislamu mwenye hofu ya Mungu, elimu ya chuo kikuu, kabila lolote lile.

Kwa mawasiliano zaidi PM,

Shukrani
Tukutane PM....na Allah atufngulie njia
 
Mimi ninazo 15 tu, kama unazo njoo pm basi hata wewe unakaribishwa tu, tufanye nikai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…