Natafuta mchumba wa kuweza kuoana na kujenga familia

Natafuta mchumba wa kuweza kuoana na kujenga familia

Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana umri miaka 26, muislamu, elimu ya chuo kikuu, muajiriwa serikalini. Natafuta mchumba umri 32+, muislamu mwenye hofu ya Mungu, elimu ya chuo kikuu, kabila lolote lile.

Kwa mawasiliano zaidi PM,

Shukrani
Umeshapata? Kama bado nifuate PM tuone tutaishia wapi japo kwenye Preliminary stage you have it for me. Karibu
 
Kila la Kheri dear. Sure
kila la Kheri dear.. Praying for ur success.. Lakini pia usisahau Ku invest katka ardhi Ni asset nzuri kwa Leo Na badae.
*HABARI NJEMA*
VKP (Real Estate) Company (yenye usajili no. *299964*) iliopo mbezi beach tang bovu ina huduma zifuatazo;
kukopesha mashamba na viwanja kwa bei nafuu bila riba wala dhamana;
miradi ya ujenzi
Upimaji wa Ardhi.

Mashamba yako bagamoyo (fukayosi)
Kuna plots zipo kigamboni na bagamoyo pia *Ardhi yote imepimwa na ina hati*

*ULIPAJI*
mkopo miez 12 mwezi wa kwanza unalipa 25% then 10% kwa miezi 4, then iliobaki unalipa 5% kwa miez 7...
MASHAMBA yetu yanauzwa kwa sh mil 1.65 kwa eka 1
Eg. Shamba mil.1.65 mwez wa kwanza utalipa 25% Inayofuata- 10% kwa miezi 4, then utalipa 5% mpk mwez wa mwsho.
VIWANJA vimepimwa na kukatwa kwa square meter.
a) *Kigamboni*- makazi na biashara 1sqm =20,000
b) *Bagamoyo* - 5,000 kwa 1 sqm (viko mkabala na msata road )
C) *kerege*-15,000 kwa 1 sqm(viko mbele kdg ya bunju ukivuka mapinga
D) *Ujenzi* wa nyumba za aina zote na za kisasa kwa mkopo wa miezi 12(mwaka mmoja), gharama zetu ni nafuu sana........!
Utalipa 25% ya gharama zote na hyo 75% iliyobaki itagawanywa ktk miezi 11 iliyobaki kukamilisha mwaka mzima.


*EPUKA UNUNUZI WA VIWANJA/MASHAMBA KWA MADALALI*

*MAWASILIANO ZAIDI*
+255757783401
+255712183055
Mwenzio anatafuta mchumba wewe wamletea biashara za ardhi, wabongo bhana![emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Unaleta udini hadi kuoana subiri watakuja wenzako wanaandama angalau hata wafungwa waliopo gerezani waje wawaoe wewe unaweka mashart mara degree Mara muislam ikifika miaka 30 niite
Shida iko wapi hata unamlaumu? Kuoa au kuolewa sio jambo la kubahatisha hivyo kuwela vigezo ni jambo sahihi zaidi. Tafuta wasio na masharti wako kibao ila kwa hili nitamtetea japo simjui.
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana umri miaka 26, muislamu, elimu ya chuo kikuu, muajiriwa serikalini. Natafuta mchumba umri 32+, muislamu mwenye hofu ya Mungu, elimu ya chuo kikuu, kabila lolote lile.

Kwa mawasiliano zaidi PM,

Shukrani
Tukutane PM....na Allah atufngulie njia
 
Mimi ninazo 15 tu, kama unazo njoo pm basi hata wewe unakaribishwa tu, tufanye nikai
 
Back
Top Bottom