Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
applications si pm au? Ndo maana huko tumepita kimya. Si tunafundishana exposure hapa.Piteni hivi >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Aah siwezi kutangaza hadharani, natangaza kwa candidates tu.
Wewe ruka ruka tu hapa, mwenzio karibu natangaza mchumba!
Mimi wala sina X mkuu!unatafutwa na X shemu wako kwa Udi na Uvumba
Mpaka atangaze kapata.Mbona huweki sasa? Nimesubiri hadi nimechoka.
Ah mi natenda wema niende zangu bibie... Kwenye njugulu wala huwezi nikumbuka weweHebu nipigie debe mama, takukumbuka kwenye ufalme wangu.
Teh teh..Yani we bado hujafika leba umeanza kulalamika hivyo..Jikaze banaYaani huyu mcheza mieleka soon itabidi tusaidiane maana sio kwa mateke haya, acha tu nizurure kidogo.
siku hizi unajitia una makengeza ama hujaelewaMimi wala sina X mkuu!
Mimi sina X, ila wewe ndo una X hapa JF na ukijifanya kubisha namtaja live hapa hapa!!siku hizi unajitia una makengeza ama hujaelewa
kachumbari yenyewe si mbilimbi apoWe hujui utamu wa mihogo eeh, iwekwe na kachumbari, acha kabisa.
Dressing me nikajua mambo ya nguo tena au kufanyaje kidonda sijui. Kumbe wa mjini mna maana yenu nyingine shaa, x-pozha yangu negative
Nyie wenye x-pozha ndo mnakula salad Hehehe nicheke mnyaki mie. hapa kula tu, diet peleka mjini aaah. Afu huyo petit sijui ndo petit man wakuache au kitu gani?
Si nasikiaga tu " naenda hospital kufanyia dressing sijui". Ngoja niondoke kabla RR hajanipa makofi..kufanyaje kidonda!,...hahaaaaaa!
I' m so done...lol!
Umefanya nicheke mwenyewe kama nina walakini πππ
Hi Paulo Sergio De Souz
Na wewe vigezo ni vipi coz huyu RRondo ni mwisho wa maelezo.
Talking about perfection!
Hi Paulo Sergio De Souz
Na wewe vigezo ni vipi coz huyu RRondo ni mwisho wa maelezo.
Talking about perfection!
OOh please.....vigezo vinne tu jamani?!!Hi Paulo Sergio De Souz
Na wewe vigezo ni vipi coz huyu RRondo ni mwisho wa maelezo.
Talking about perfection!
Mpaka atangaze kapata.