Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Aaah Mungu awabariki. Kumbe mpo tu hapa kutafuta ushirikiano na mimi, nyie sio wa level zangu. Msiniquote tena[emoji87] [emoji87] [emoji87]Utaipenda tu, tena uongezee tu pilipili na tu chunvi
Hahahaaaa! Asisahau na mbilimbili[emoji39] [emoji39]
Aaah Mungu awabariki. Kumbe mpo tu hapa kutafuta ushirikiano na mimi, nyie sio wa level zangu. Msiniquote tena[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Hahaha hauwi kama unga wa ngano wa Azam chapati bana, hii ni ngano asili unaikaanga then inasagwa. Unaongeza tu x-pozha tehAisee!, unasongeka kweli!
Hahaha ngoja nimconsult Khantwe ndo atanipa maelezo vizuri. Maana me nilikuta tu unga ushatengenezwaHeaven Sent ugali wa ngano unatengenezwaje?!
Utanifaa sana, baada ya kukatwa na RRONDO itabidi niongeze tu nyama kidogo naona wembamba haulipi.
Chezea kukatwa wewe! Hapa hata hatuelewi tunachokiandika, hebu tuulize tena kesho maybe mambo yatakuwa yamekaa sawa.Aaah Mungu awabariki. Kumbe mpo tu hapa kutafuta ushirikiano na mimi, nyie sio wa level zangu. Msiniquote tena[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Hayo sio majanga bwana bali ni fursa.Hizi ndio dalili za wachawi kufurahia majanga.
Tatizo hataki kunipa good news, aseme basi zitapungua sifa hadi iingie ya kwangu teh!
We hebu tulia kwanza, usiwe na papara.atoto kui Heaven Sent nimeshapata mpenzi naomba mtuache tupumue, thread closed! Invisible naomba futa hii thread.
Sisi tupo hapa tunatiana tu moyo, nyie jifungieni tu chumbani buana teh. Muache na milango + madirisha wazi ili mpumue vizuriatoto kui Heaven Sent nimeshapata mpenzi naomba mtuache tupumue, thread closed! Invisible naomba futa hii thread.
Hahaha hauwi kama unga wa ngano wa Azam chapati bana, hii ni ngano asili unaikaanga then inasagwa. Unaongeza tu x-pozha teh
Hahaha ndo maana tumeover qualify. X-pozha nyingine kesho, ulete na wewe za kwako za kula kwa umma na kisu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti unaongeza na X-pozha!, tehe!
Chezea kukatwa wewe! Hapa hata hatuelewi tunachokiandika, hebu tuulize tena kesho maybe mambo yatakuwa yamekaa sawa.
Hahaha ndo maana tumeover qualify. X-pozha nyingine kesho, ulete na wewe za kwako za kula kwa umma na kisu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha sisi ndo mawifi, mchumba atuzoee tu. Tena aanze tu kutupigisha na story, tukitia mgomo sisi oooooooh[emoji12] [emoji12] [emoji12]Heaven Sent na atoto
Msikute mchumba kamwambia RRondo tunatia kiwingu hapa. Hebu twendeni na sisi tukaweke tangazo. Halafu tuanze kushona sare za mnuso.
Hahaha naonaga tu kwenye tv vinaliwa tambi sijui. Mbona ntavunja sahani afu nilipishwe menu bila kula, ntalia kama nimekatwa[emoji39] [emoji39] [emoji39]Teheh!, au vile vijiti viwili...lol!
Hahaha sisi ndo mawifi, mchumba atuzoee tu. Tena aanze tu kutupigisha na story, tukitia mgomo sisi oooooooh[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hakuna kama sisi dunia nzima[emoji126] [emoji126] [emoji126]I know right!, ma wifi pouwa.