Hahaha naonaga tu kwenye tv vinaliwa tambi sijui. Mbona ntavunja sahani afu nilipishwe menu bila kula, ntalia kama nimekatwa[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Heheheheheh mbavu zangu, hamu yote ya kula nahisi iliisha. Mmh me nisije nikaingiza machoniMwenzangu!, wakati najifunza kuvitumia saa ngapi nisiingize kimoja puani! 🙂
usinitishe weweMimi sina X, ila wewe ndo una X hapa JF na ukijifanya kubisha namtaja live hapa hapa!!
Niwataje, nisiwataje?usinitishe wewe
usinitishe wewe tajaNiwataje, nisiwataje?
Teh teh teeeeeh. We crumbled.
Mother mode still on hun.Missing your craziness...
RRONDO kuna mtu anakutaka, njoo huku faster!Tunaomba mrejesho vipi umeishapata mchumba au application bado zinapokelewa?
Natafuta mchumba baadae awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo;
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee
Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.
sister umenibania kwa dogo wako poa tu....
Hahahhaah kumbe nina binamu " wa dar". Binamu unataka mashemeji wa mkoani au? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ni Mwanaume wa Dar au wa Mkoani!?
Nnauliza hivyo nikiwa na Maana yangu: kwani heaven Sent ni Binam yangu.