Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Oh bro umeniwahi aisee...ukishapata uniambie na mimi niweke langu. Don't want to compete.
Sasa mngekuwa wazalendo si ungechukua 1st runner up baada ya rrondo kupata?

But anyways, hivi siwezi kuwa na waume wawili? manake naona kama vigezo vyote nnavyo.[emoji85]
Nitakwambia mkuu, tuki-compete tunaweza kusababisha 'inflation'
 
Sasa mngekuwa wazalendo si ungechukua 1st runner up baada ya rrondo kupata?

But anyways, hivi siwezi kuwa na waume wawili? manake naona kama vigezo vyote nnavyo.[emoji85]
Kwetu ku-share mwiko...nipe yule mdogo wako,najua yuko kama wewe
 
Back
Top Bottom