Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi nilikuwa na mumeo mitaa ya kati
Natafuta mchumba baadae awe mke wangu. Awe na sifa zifuatazo
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee
Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.
RRONDO amuibua Cute b kutoka mafichoni!6. Awe na shape kama cute b.
Bila kusahau dimpoz za mashavuni na kiunoni.
(Natania x Wangu)
Kila la kher
Pale unaposikia x anatafuta mchumba. Lazima ujitokeze labla atabadili mawazo akutongoze upya. Leo sibanduki hapa mkuuRRONDO amuibua Cute b kutoka mafichoni!
Kwenye post yako mbona kigezo hicho hujawekaa? HahahahaKumbe unajua hio shape ndio ilinizingua.....
Sasa mngekuwa wazalendo si ungechukua 1st runner up baada ya rrondo kupata?Oh bro umeniwahi aisee...ukishapata uniambie na mimi niweke langu. Don't want to compete.
Nitakwambia mkuu, tuki-compete tunaweza kusababisha 'inflation'
Dah!!.... Jamani!!.... So innocent!Pale unaposikia x anatafuta mchumba. Lazima ujitokeze labla atabadili mawazo akutongoze upya. Leo sibanduki hapa mkuu
Kwetu ku-share mwiko...nipe yule mdogo wako,najua yuko kama weweSasa mngekuwa wazalendo si ungechukua 1st runner up baada ya rrondo kupata?
But anyways, hivi siwezi kuwa na waume wawili? manake naona kama vigezo vyote nnavyo.[emoji85]