Hahaha sasa mtu mwenye sifa zake ntamkatishaje tamaa bana? Basi ngoja nimfate mwana kwaito mwenzangu housegirlNaona umeamua kuniharibia....kwa comment hii unawakatisha tamaa kabisa! Naomba umfuate housegirl kapita >>>>>>
Daah bora hapo umenitia moyo kidogo. Nakuja basi pm, hata ukinikata nikate basi kwa huruma kidogo[emoji87] [emoji87]Naona kuna kila dalili ya ku-compromise!
Mi mwenzio kizungu chenga....ndo kasemaje?Daah bora hapo umenitia moyo kidogo. Nakuja basi pm, hata ukinikata nikate basi kwa huruma kidogo[emoji87] [emoji87]
Daah bora hapo umenitia moyo kidogo. Nakuja basi pm, hata ukinikata nikate basi kwa huruma kidogo[emoji87] [emoji87]
Naona nyie wawili mmeamua kuvuruga hili zoezi. Kama hamna vigezo si mtulie tu?!!Mi mwenzio kizungu chenga....ndo kasemaje?
Mkuu kwani tunazuia watu kuja hapa? Anyway ngoja nimfuate Housegirl[emoji124] [emoji124]Naona nyie wawili mmeamua kuvuruga hili zoezi. Kama hamna vigezo si mtulie tu?!!
Mkuu nimeshaondoka nakutakia utafutaji mwemaWakiona wewe na viwango vyako unaji-disqualify watakimbia.
Hahaha nimekumbuka exposure yetu ya kuchana mbaoHahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo namba 2 naona tutatafutana ugomvi hapa we hayaa
Amesema eti mimi na wewe tuna vigezo vyote[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mi mwenzio kizungu chenga....ndo kasemaje?
Hem tuondoke kwenye uzi wa watu bhana usinikoti tena[emoji125]Hahaha nimekumbuka exposure yetu ya kuchana mbao
Amesema eti mimi na wewe tuna vigezo vyote[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hahahahahaaa.There is a huge chance of me winning lottery jackpot than these two ladies being single.............