Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Ukipata mwenye 50% kati ya hizo oa tu bro..Unaweza kukesha
 
Hahaha

Tit for tat
Hahaha housegirl usiseme hivyo bana, ntakatwa bure. Nimeshatuma maombi huko, ila nimempa kabisa taarifa, akinikata tu nafungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mchumba. Ntakuwa kama the late Mch Mtikila, Kila siku ataitwa mahakamani teh teh
 
Utakatwa tu mtu mwenyewe na standards zake ataishia tu kuwa single at 50.
 
Asante rafiki yangu
Ngoja na Mimi nikaweke tangazo langu. Sema sijui jinsi ya kuanzisha Uzi.
Usiwe na mashaka rafiki, nitakufundisha namna ya kuandika uzi wenye mvuto hadi uibue wachumba wazuri kutoka mafichoni!
 
Back
Top Bottom