Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Wako mpaka baada ya miaka 800Oh bro umeniwahi aisee...ukishapata uniambie na mimi niweke langu. Don't want to compete.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako mpaka baada ya miaka 800Oh bro umeniwahi aisee...ukishapata uniambie na mimi niweke langu. Don't want to compete.
Jaribu tu mamaaaaaHizo sifa za watu wanne we unazitaka zote kwa mtu mmoja daah...ningekuwa nayo walau moja ningejaribu bahati yangu
Finally nimekutoa mafichoni....yuko wapi braza OLESAIDIMU ?Hahahahahaaa.
Thanks for the smile bro.
Hope you find your hearts desire.
x atongozwi,anakumbushiwa tu.Pale unaposikia x anatafuta mchumba. Lazima ujitokeze labla atabadili mawazo akutongoze upya. Leo sibanduki hapa mkuu
Kwa heriiiWewe mpenda pesa pita hivi >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Ha ha ha....ya kutoonana 🙂🙂🙂🙂
Eeeeeeetianataka kuoa maisha anayo
au unataka kuwalisha watoto wa watu mbilimbli tu
Hahaha housegirl usiseme hivyo bana, ntakatwa bure. Nimeshatuma maombi huko, ila nimempa kabisa taarifa, akinikata tu nafungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mchumba. Ntakuwa kama the late Mch Mtikila, Kila siku ataitwa mahakamani teh tehHahaha
Tit for tat
Utakatwa tu mtu mwenyewe na standards zake ataishia tu kuwa single at 50.Hahaha housegirl usiseme hivyo bana, ntakatwa bure. Nimeshatuma maombi huko, ila nimempa kabisa taarifa, akinikata tu nafungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mchumba. Ntakuwa kama the late Mch Mtikila, Kila siku ataitwa mahakamani teh teh
Hahaha atampata tu bana. Sisi tuandae tu vigimbi vyetu ready for kwaitoUtakatwa tu mtu mwenyewe na standards zake ataishia tu kuwa single at 50.
Teh teh teeeeeh. We crumbled.Finally nimekutoa mafichoni....yuko wapi braza OLESAIDIMU ?
Kwa raha zetu kwenye mnuso wa rrondo.Hahaha atampata tu bana. Sisi tuandae tu vigimbi vyetu ready for kwaito
Usiwe na mashaka rafiki, nitakufundisha namna ya kuandika uzi wenye mvuto hadi uibue wachumba wazuri kutoka mafichoni!Asante rafiki yangu
Ngoja na Mimi nikaweke tangazo langu. Sema sijui jinsi ya kuanzisha Uzi.