Natafuta mchumba

Kila mtu na bahati yake labda bahati inaweza kuangukia kwako ,nimetafuta sana humu ndani mchumba hadi sasa bila bila hakuna kitu.


umejiunga jumamosi halafu umetafuta sana hehehe au umesahau kuwa una ID mpya mkuu...?? ndo maana hupati maana wewe unajibadili sana.
 


mkuu hapo kwenye sifa zako ungebandika tu picha yako ingependeza sana.
 
mbona sifa zako umetoa chache ili hali vigezo vya umtakaye ni vingi?
 
Usipoteze muda kutafuta aliye bora chukua huyo huyo utumie muda kumfanya awe bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…