Habarini za kazi wana JamiiForums,
Bila kupoteza muda naomba kutiririka moja kwa moja, hoja yangu iliyopelekea kuandaa uzi huu.
Kwanza nianze kwa kusema nawapenda sana tena toka moyoni JamiiForums ni sehemu pekee ya kutatua matatizo ya walio wengi hvyo basi naomba kutatuliwa tatzo langu.
Kwa kuwa nina miaka 38 tayari naweza kujitegemea, kwa kauli hii tayari yanipasa kuwa na mtu ambaye anaitwa hawa mke).
Kwa sasa hivi ni tofauti kabisa na zamani, kulikuwa na utaratibu wa kuoana na mwanamke ambaye unafahamu familia yao kuanzia tabia hadi.
Ni mtizamo mzuri sana kwa enzi zile lakini sasa hivi imekuwa tofauti sana, wadada walio wengi hawapendi kuolewa kwa kile wanachokidai kukosa uhuru wa kufanya mambo yao.
Swali langu ni mambo gani wanayafanya kwa uhuru bila kuwa na wanaume? Jibu kila mmoja analo.
Anyaway nasema hivi mwanadada ambaye yuko tayari kuwa na mimi ani PM lakini kuna sifa anazotakiwa kuwa nazo kama ifuatavyo;
Q) Awe mfanya kazi wa serikali/ kampuni/ biashara.
b) Rangi yoyote napenda.
C)Awe na mwili wa wastani, asiwe bonge sana, asiwe mwembamba sana.
d) Urefu wake wa wastani lakini hatakuwa ana sifa endapo atakuwa mfupi sana.
e) Awe ajichubui (cream)
f) Sipendi wings (nywele bandia)
Kutokana na sifa hapo juu kama kuna mwenye nazo njoo PM. Kama umewahi kuolewa na ukaachika taraka mhimu sana. Sitabagua kabila wala dini.
Sifa zangu ni kama ifuatavyo;
1) Elimu ya juu
2) Nifanya kazi kwenye kampuni la kimisri
3) Mwembamba
4) Mrefu wastani
5) Sura mbaya kiasi.
6) Sina nyumba.
7) Nina mtoto mmoja.
Kwa aliyetayari karibu PM acha namba yako nitakucheki, niko DSM kwa sasa, baada ya siku tatu nitakuwa nje ya nchi.
Take it serious.