Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

 
Mi ni single mom, mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe Mkristo, umri kuanzia 35+, asiwe Muhaya wala Mkurya, awe anajishughulisha!

ASANTE.
Unazingua wewe
Unaendekeza ukabila ptuuu
 
Mi nkiwaambia members humu kua dem anasound kali sana hawanielewi kabisa
Wanasema mimi mjinga,mimi mzembe!
Manzi kichan zipo,na anajua kulegeza sauti lazima uliwe tu!
Inaitwa sauti ya kupiga hela
 
Umeshazaa!unataka mchumba wa nini!?
Aliekupa mimba ukazaa hakua mchumba!?

Ndoa ni dhana tu!vile utakavyoichukulia ndipo hivo ivo!!

Ungesema unataka mpenzi wa kudumu wa kupambania na maisha Alie committed kulea familia itakayojitokeza kutokana na mahusiano hayo!

Mnajitia stress za bure kwa kukosa uelewa ndoa hufungwa na mabikra wa kike na kiume tu,nyingine HIZI ni tafrija na mbwembwe ndui màana zinachangamoto KILA kukicha!!

Hakuna ndoa BILA bikra mengine ni usanii tu wa kutakasa dhambi!!
 
Back
Top Bottom