Waha wana adabu sana....
Wala siyo wabishi....ila wanapenda kusimamia kilicho sahihi.
Waha wana akili sana, siyo rahisi kumburuza muha.
Kwa kupenda kwao kusimamia kilicho sahihi, kunapelekea waonekane wabishi.
Waha siyo WACHAFU
Uchafu ni hulka binafsi.