Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Waha wana adabu sana....
Wala siyo wabishi....ila wanapenda kusimamia kilicho sahihi.
Waha wana akili sana, siyo rahisi kumburuza muha.

Kwa kupenda kwao kusimamia kilicho sahihi, kunapelekea waonekane wabishi.


Waha siyo WACHAFU

Uchafu ni hulka binafsi.
Fact nimeona wengi sana yotea yote waha waachie waha wenzao wanajuana tabia zao
 
Back
Top Bottom