Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
😎Makasiriko 😐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😎Makasiriko 😐
Fact nimeona wengi sana yotea yote waha waachie waha wenzao wanajuana tabia zaoWaha wana adabu sana....
Wala siyo wabishi....ila wanapenda kusimamia kilicho sahihi.
Waha wana akili sana, siyo rahisi kumburuza muha.
Kwa kupenda kwao kusimamia kilicho sahihi, kunapelekea waonekane wabishi.
Waha siyo WACHAFU
Uchafu ni hulka binafsi.