natafuta mchumba,,,,,

Thubutu ,tunaaminiana wala sina wasiwasi kuleni kwa macho ni namweka ndani.
we ukimweka ndani mtoto kama huyu nani atalima viazi kule milimani,shauri yako bana usiseme hatukukwambia:teeth:
 
Basi wacha nilale na cheusi wangu sasa....dah kwa hiyo tu....sio mchezo....Rev Masa remains to be the only rev here..

na sijui Rev. masa yuko wapi atahusika kutufungisha pingu.
 
Rrrrrrrrrrright man I am out............. sijui nanihii wangu yuko wapi ....hajaam bado.............ngoja nipige chabo!

Juzikati si ulikuwa unafukuzia Yaeda chini ? au hauna Vouge nyeusi ?
 
Mikono ile ilionishika bega ndotoni wacha kulima hata kufua hajiawahi.

honey,mie naweza kulima,kuchanja kuni,kufua,kupika sema tu ngozi ya mikono yangu ni laini sbb naitunza vizuri.wewe nioe tu hata housegirl sitahitaji,hasa chakula chako lazima nikikarangize mwenyewe,na nguo zako sitaruhusu mtu mwingine aziguse labda niumwe tena hoi,na kamwe sitachoka kukuhudumia wewe.
 
Juzikati si ulikuwa unafukuzia Yaeda chini ? au hauna Vouge nyeusi ?
aah wapi huyu na bito yake ata ukimuuliza VOGUE ni nini anaweza kukwambia ni jimeli fulani kuubwa huko ughaibuni linaloweza beba dunia nzima.ujue kashindwa huko kwenye vogue
 
Naanza maandalizi usihofu mwaka 2011 utakukuta ndani ya nyumba yetu na nimeota tutazaa mapacha.

ninavyopenda mapacha,wangapi?nahisi wa kike wote,tukishapata hao wawili si basi eeh.?maisha yangu yanachanua kwa furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…