natafuta mchumba,,,,,

natafuta mchumba,,,,,

honey,mie naweza kulima,kuchanja kuni,kufua,kupika sema tu ngozi ya mikono yangu ni laini sbb naitunza vizuri.wewe nioe tu hata housegirl sitahitaji,hasa chakula chako lazima nikikarangize mwenyewe,na nguo zako sitaruhusu mtu mwingine aziguse labda niumwe tena hoi,na kamwe sitachoka kukuhudumia wewe.

Mwanamke mwema utamjua tu kwa maneno yake,ukiumwa nitafua mimi wala usihofu sweety.
 
Mwanamke mwema utamjua tu kwa maneno yake,ukiumwa nitafua mimi wala usihofu sweety.

thanks baby,mume mwema utamjua tu kwa kauli zake za kujali.kwa kweli ndoa yetu itakua paradiso. i cant wait.😛arty::whoo:
 
ha ha ha haa,mkuu nimecheka mpaka mtu wa pembeni kauliza unacheka na kompyuta doh.

Ukicheka ndio furaha yangu najua nimekuongezea siku.

aah wapi huyu na bito yake ata ukimuuliza VOGUE ni nini anaweza kukwambia ni jimeli fulani kuubwa huko ughaibuni linaloweza beba dunia nzima.ujue kashindwa huko kwenye vogue

Sasa kama kashindwa huko asiharibu hapa,cheusi wangu hajaniuliza kama na hata baiskeli.

ninavyopenda mapacha,wangapi?nahisi wa kike wote,tukishapata hao wawili si basi eeh.?maisha yangu yanachanua kwa furaha.

Watoto wawili wanatosha dear tunahitaji muda wa sisi wawili au sio ?
 
ingieni naninihii basi na sie tupate lau nafasi :bored:

penzi ni kikohozi hata nikijaribu kujizuia hadharani siwezi.watu wawili wakipendana kikweli hata jua la bongo hupunguza makali yake.
 
penzi ni kikohozi hata nikijaribu kujizuia hadharani siwezi.watu wawili wakipendana kikweli hata jua la bongo hupunguza makali yake.
Ndio maana nimeanza kuhisi kaubaridi nini? ngoja mkajipatie ka-valuer kule................
 
sawa kabisa dear.

Mpenzi naenda kulala nimefarijika kukufahamu,sweet dreams kesho nahitajika kazini bosi ni mama mmoja mkali sana naona hapati chakula cha usiku.:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S-rose:.
 
uporoto01
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png
JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateThu Apr 2009Posts444Thanks148Thanked 82 Times in 72 Posts Rep Power22

Afu umekuaje Premium member na hizo post zako? au ndio cheusi kafanza hapo!.... just curious
 
Ndio maana nimeanza kuhisi kaubaridi nini? ngoja mkajipatie ka-valuer kule................

sisi hapa hata hatusikii baridi,si unajua tena,ningekupa siri lkn mzee hapa kanikataza.
 
Mpenzi naenda kulala nimefarijika kukufahamu,sweet dreams kesho nahitajika kazini bosi ni mama mmoja mkali sana naona hapati chakula cha usiku.:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S-rose:.

:juggle::juggle:
 
sawa my dear,kalale salama.Mungu akulinde.Akuamshe salama.Huyo mama nitamuweka ktk maombi mpenzi.Na mie nikalale au unaniruhusu niendelee kuwepo hapa kidogo sbb baso sina usingizi.
 
Back
Top Bottom