babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
mkuu can you watch "UNSTOPABLE"ooohhhhhhhhhhh nimeeeeeeeeeeeshihiiiiiiiindwaaaaaaaaaa 😛eace:
yaah anza kurusha vitu basi tuendelee kuweka mambo hewani.yep yep imetulia.
honey,mie naweza kulima,kuchanja kuni,kufua,kupika sema tu ngozi ya mikono yangu ni laini sbb naitunza vizuri.wewe nioe tu hata housegirl sitahitaji,hasa chakula chako lazima nikikarangize mwenyewe,na nguo zako sitaruhusu mtu mwingine aziguse labda niumwe tena hoi,na kamwe sitachoka kukuhudumia wewe.
Mwanamke mwema utamjua tu kwa maneno yake,ukiumwa nitafua mimi wala usihofu sweety.
ha ha ha haa,mkuu nimecheka mpaka mtu wa pembeni kauliza unacheka na kompyuta doh.
aah wapi huyu na bito yake ata ukimuuliza VOGUE ni nini anaweza kukwambia ni jimeli fulani kuubwa huko ughaibuni linaloweza beba dunia nzima.ujue kashindwa huko kwenye vogue
ninavyopenda mapacha,wangapi?nahisi wa kike wote,tukishapata hao wawili si basi eeh.?maisha yangu yanachanua kwa furaha.
wewe dume au jike????????????????????
Pale nimebwaga ndugu yangu .........Juzikati si ulikuwa unafukuzia Yaeda chini ? au hauna Vouge nyeusi ?
ingieni naninihii basi na sie tupate lau nafasi :bored:sina uhakika mpendwa wangu.
wewe dume au jike????????????????????
.
Watoto wawili wanatosha dear tunahitaji muda wa sisi wawili au sio ?
Pale nimebwaga ndugu yangu .........
ingieni naninihii basi na sie tupate lau nafasi :bored:
Ndio maana nimeanza kuhisi kaubaridi nini? ngoja mkajipatie ka-valuer kule................penzi ni kikohozi hata nikijaribu kujizuia hadharani siwezi.watu wawili wakipendana kikweli hata jua la bongo hupunguza makali yake.
sawa kabisa dear.
Ndio maana nimeanza kuhisi kaubaridi nini? ngoja mkajipatie ka-valuer kule................
Mpenzi naenda kulala nimefarijika kukufahamu,sweet dreams kesho nahitajika kazini bosi ni mama mmoja mkali sana naona hapati chakula cha usiku.:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S-rose:.
siri ndio hiyo hapo juu........... hujaino bado!?sisi hapa hata hatusikii baridi,si unajua tena,ningekupa siri lkn mzee hapa kanikataza.
Mpenzi naenda kulala nimefarijika kukufahamu,sweet dreams kesho nahitajika kazini bosi ni mama mmoja mkali sana naona hapati chakula cha usiku.:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S-rose:.