natafuta mchumba,,,,,

Hiyo ndoto ilipotoka kwako ikaamia kwangu bila shaka ni wewe wala usiangaike kuumiza kichwa kama vipi ni PM


lkn roho alisema kila kitu kitafanyika hapa jukwaani na sio chemba PM.
 
Na mimi niliota kitu kama hichohicho!tafadhali naomba namba yako ya simu!!
 
kumbe ndo maana yake hiyo.asante babu.

Na Tazama, namtuma mjumbe wangu, Mwenyekiti, :A S crown-1: atakaye'mponya' Cheusimangala'......kila bonde litajazwa, na vilima kusawazishwa.......shoka lishatiwa kwenye mpini.....ole wake ambaye anaenda kinyume na maono ya Cheusimangala....ni heri mtu huyo asingezaliwa na mwanamke.....:shut-mouth::A S-frusty:😛ainkiller:
 
Na mimi niliota kitu kama hichohicho!tafadhali naomba namba yako ya simu!!

haiwezekani bwana uoteshwe kitu kama changu,yaani na wewe umeoneshwa mtu kavaa shati la kitenge na four angle?huyo atakua roho mchafu,wewe si HE kama sijakosea.
 

haya maneno wengine watayachakulia kijuu juu lkn yana ujumbe mzito sana.acheni tu jamani,sisemi mengi.haya mono ymenichanganya sana.
 
Katika hali kama hii, tafuta mtakatifu yeyote akusaidie kufanya maombi....

Utampata mtakavitu (na wengi wenye upako huu ni wanaume) na mtaendesha pamoja nae maombi ya kufunga na kuomba sehemu tulivu wakati wa usiku kukiwa hakuna makelele ili ku concetrate kwenye maombi ya ndani. Baada ya mtu utamfahamu aliye wako

Angalizo: Ukiingia kwenye maombi lazima uwe tayari kukubaliana na majibu ya aina yoyote ya maombi yako, kwa Mungu hakuna rufaa.
 
We mwanamke vipi hata ndoa tutafungia hapa hapa jukwaani? Kama vipi nipe phone no yako!

huitaji kuwa na hasira my dear,kwanza wewe si ulisema una mchumba wako anaitwa Rose,sasa inakuaje,ujue kweli mie natafuta mchumba,niko serious lkn wewe si tayari unaye mtu.
 

maneno mazuri haya,asante.
 
huitaji kuwa na hasira my dear,kwanza wewe si ulisema una mchumba wako anaitwa Rose,sasa inakuaje,ujue kweli mie natafuta mchumba,niko serious lkn wewe si tayari unaye mtu.

Wewe mrembo me nipo serious sema wewe hujiamini rose wa wapi tena?
 
Zali la mentali limenidondokea na watu wote wamebaki namshangao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…