natafuta mchumba,,,,,

natafuta mchumba,,,,,

wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angel,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL

Pole kwa kutokumuona sura, ila Sheik Yahya Hussein anaweza akakusaidia ila kuwa nae makini anaweza akasema umemwota yeye.
 
Nadhani mafataki Kimey, Roya, The Finest, Generation Y, Kaizer, Acid,Teamo, Fidel, Bigirita et al wamekusoma vizuri.

Ni babu tu amebakia, ni babu tu kumlea mchumba.

The Following User Says Thank You to cheusimangala For This Useful Post:
Asprin (Today)

babu ntafsirie,kwa nini 'roho' alivyofikia ktk jina la kaizer akatikisa kichwa,sikumuelewa anamaanisha nini,labda wewe babu unaweza kuntafsiria.
 
:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angel,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL

Hiyo ndoto ilipotoka kwako ikaamia kwangu bila shaka ni wewe wala usiangaike kuumiza kichwa kama vipi ni PM
 
Katika hali kama hii, tafuta mtakatifu yeyote akusaidie kufanya maombi....

mtu yeyote akimuona mpakwa mafuta wa bwana Rev. Masa amwambie namtafuta huku ktk shughuli za kiroho.
 
babu ntafsirie,kwa nini 'roho' alivyofikia ktk jina la kaizer akatikisa kichwa,sikumuelewa anamaanisha nini,labda wewe babu unaweza kuntafsiria.

Mwenyekiti hajadiliwi, katiba imebainisha wazi.
 
Na huo uchumba, nani atakuwa mmiliki halali wa matiti ya Cheusie?

roho kasema sbb yameumbwa kwa ubavu wa huyo mwenza wangu,tutashirikiana kuyamiliki eti.mie mwanzo nilizani ni mali yangu pekee,roho kanichanganya hapo.
 
mtu yeyote akimuona mpakwa mafuta wa bwana Rev. Masa amwambie namtafuta huku ktk shughuli za kiroho.

Yule sio mtakatifu....tafuta mwingine...kumbuka sio viongozi wote wa kiroho ni watakatifu...
 
wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angel,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL

Kama Nebukadneza vile ndoto ni ndoto tu ila kama nimaono huna haja ya kumtafuta huyo mchumba, kwani utakutanishwa nae kama ulivyoona.
 
wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angel,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL

Angalia asije akawa roho wa kuzimu ...
 
Back
Top Bottom