natafuta mchumba,,,,,

natafuta mchumba,,,,,

All the best ingawa hujasema ni mwenza wa mke mmoja mme mmoja au wa kimila au wa zaidi ya mmoja maana yote yanawezekana.
 
he hee hapo bila bila ila karoho kananiuma,ni nini kimekukumba vile d?

halafu babukijana ntakupigia muda si mrefu,ntakua anga za 'sveavägen' kama utakua maeneo hayo tukutane d tupate japo kahawa.
 
Haki ya nani tena mi nakwambia mimi ndiye yule. Usimwamini m2 mwingine. Kama kweli ungeniona nimevaa jinsi na raba tena za mtoni. nakupenda tuu tena jina na umbo lako kama ni hilo, mwe ocho koko mai. Wacha waseme nimeoa aliyeolewa. Hivohiovo welcome ma usingizi.
 
Natamani sana ningekua mimi katika hayo maono ila ilo suala la kutokua single ndo linanikwaza looh!:bump:
 
babukijana na cheusimangala what is going on btn you two,mnachochote cha kuelezea uma.kuna kitu nimegundua,niseme nisisemee.
na mimi huu mchakato wa cheusi ukiisha naanzisha thread ya kutafuta mchumba.
 
Nikaingia kanisani,nkapiga magoti kimya nkaanza kusali kuomba mola afungue npate jiko. Gafla nkasikia m2 anaongea kumbe ni Roho mtakatifu: Kijana,nimetumwa na Mungu baba kuleta majibu ya sala yako,vigezo ulivitaja zimepatikana. Umtafutaye ametangulia jamvini! Nkauliza mbona nimetoka uko sjamwona? Akajibu,rudi jamvini utakuta kafika tayari,ukifika kaa kimya,mola atamchokoza mpaka aongee. Nilipofika nkakaa kimya,sasa nasikia sauti ya cheusi,sasa sijui ndiye? Ila nkarudi kanisani kuhoji sasa ivi,ee mola mbona mi sna shati ya ktenge ila cheusi kaona ktenge? Akasema "tulia bado antenna ya cheusi inashika chenga,ilo si shati la ktenge,shati lako la drafti,antena ikitulia atakuona vzuri" sasa nakaa kimya ili antenna ya cheusi inase vizuri. Nimeamsha mkono wa kulia juu kama antena haitotulia basi angalia mkono ulioamshwa juu cheusi au ukiishia kuona shati kitenge,basi mstue queen kami afuate nyuma yako anaweza kuniona nilipo! Mi nko apa kushoto jamvini,karibu na meza ya MOD ,apa anapokaa timekeeper! Unaniona?
 
Ooohh utakufa na huyo roho umsikilizaye, wanaume hawajui roho, sisi ni mtoto kaumbika, taarab, ma.t.ako yakutosha, kiuno, mahips, we mostly interested with outside image, mambo ya roho baadae saaaaaaana, mwanaume macho yakisema yes kwisha
 
do salaleeeeeeeee hayo macho yatasema yes kwa wangapi
 
babukijana na cheusimangala what is going on btn you two,mnachochote cha kuelezea uma.kuna kitu nimegundua,niseme nisisemee.
na mimi huu mchakato wa cheusi ukiisha naanzisha thread ya kutafuta mchumba.

Goodmorning Queenkami.

Hivi unajua babu alivokumisi lakini?
 
Ooohh utakufa na huyo roho umsikilizaye, wanaume hawajui roho, sisi ni mtoto kaumbika, taarab, ma.t.ako yakutosha, kiuno, mahips, we mostly interested with outside image, mambo ya roho baadae saaaaaaana, mwanaume macho yakisema yes kwisha
Mmh balaa buluu.
 
babukijana na cheusimangala what is going on btn you two,mnachochote cha kuelezea uma.kuna kitu nimegundua,niseme nisisemee.
na mimi huu mchakato wa cheusi ukiisha naanzisha thread ya kutafuta mchumba.
usiseme bana we si unajua bwana yesu ndiye mwamba na cheusi kasema kaoteshwa maono kwamba mzee wake atampata hapa jamvini.
 
Nikaingia kanisani,nkapiga magoti kimya nkaanza kusali kuomba mola afungue npate jiko. Gafla nkasikia m2 anaongea kumbe ni Roho mtakatifu: Kijana,nimetumwa na Mungu baba kuleta majibu ya sala yako,vigezo ulivitaja zimepatikana. Umtafutaye ametangulia jamvini! Nkauliza mbona nimetoka uko sjamwona? Akajibu,rudi jamvini utakuta kafika tayari,ukifika kaa kimya,mola atamchokoza mpaka aongee. Nilipofika nkakaa kimya,sasa nasikia sauti ya cheusi,sasa sijui ndiye? Ila nkarudi kanisani kuhoji sasa ivi,ee mola mbona mi sna shati ya ktenge ila cheusi kaona ktenge? Akasema "tulia bado antenna ya cheusi inashika chenga,ilo si shati la ktenge,shati lako la drafti,antena ikitulia atakuona vzuri" sasa nakaa kimya ili antenna ya cheusi inase vizuri. Nimeamsha mkono wa kulia juu kama antena haitotulia basi angalia mkono ulioamshwa juu cheusi au ukiishia kuona shati kitenge,basi mstue queen kami afuate nyuma yako anaweza kuniona nilipo! Mi nko apa kushoto jamvini,karibu na meza ya MOD ,apa anapokaa timekeeper! Unaniona?

amen amen yote yawezekana u never know.
 
Nililala usiku nikaota nakula chapati na karanga nlivyoamka asubuhi nikakuta nimekula godoro na blanketi..... hizi ndoto sio lakini best wishes dada yangu cheusi, halafu kama nakufaham vile, anyway, wakikuzingua "run for ur life"
 
hata mie nahisi kama nakufahamu.hebu njoo chemba unieleze vizuri.
 
wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angle,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL

hahahahaha umenikumbusha style ya wapendwa kutafutiana mke ..nimepata maono ooh wewe ndo wangu wa milele ..na yeye anaenda kufunga na kuomba ili apate maono akirudi anarudi na jibu la Yes nimekubali mungu kanionyesha
Nadhani ulimuota Fidel80 ndo huwa anavaa hivyo
 
Hapo umenena, najua umbo unalo zaidi ya hilo uliloweka hapo, sasa nipe ratiba twaonana kwenye chocho gani?
 
Back
Top Bottom