Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he hee hapo bila bila ila karoho kananiuma,ni nini kimekukumba vile d?
Warning!
ha ha haa mkuu umefumwa utamu sana,hiyo zuga yako sasaLOL
"Mbwa haibi nyumbani" Wise...
How have u been? , missing here just the way I have been......?
Warning!
mamaaa hivi wewe mbona unantisha tena,sveavägen aisee itabidi unieleze vizuri kule mafichonihalafu babukijana ntakupigia muda si mrefu,ntakua anga za 'sveavägen' kama utakua maeneo hayo tukutane d tupate japo kahawa.
eti eeh we jiandae tu lazima atakuja japo atachelewa lakini ahadi zake nikweli tupu.nimeipenda hiyo,hata mie sikumoja atakuwa home boy wangu coz alisema atakuja kunichukua.
Ooohh utakufa na huyo roho umsikilizaye, wanaume hawajui roho, sisi ni mtoto kaumbika, taarab, ma.t.ako yakutosha, kiuno, mahips, we mostly interested with outside image, mambo ya roho baadae saaaaaaana, mwanaume macho yakisema yes kwisha
babukijana na cheusimangala what is going on btn you two,mnachochote cha kuelezea uma.kuna kitu nimegundua,niseme nisisemee.
na mimi huu mchakato wa cheusi ukiisha naanzisha thread ya kutafuta mchumba.
ha ha haa mkuu umefumwa utamu sana,hiyo zuga yako sasa
Mmh balaa buluu.Ooohh utakufa na huyo roho umsikilizaye, wanaume hawajui roho, sisi ni mtoto kaumbika, taarab, ma.t.ako yakutosha, kiuno, mahips, we mostly interested with outside image, mambo ya roho baadae saaaaaaana, mwanaume macho yakisema yes kwisha
usiseme bana we si unajua bwana yesu ndiye mwamba na cheusi kasema kaoteshwa maono kwamba mzee wake atampata hapa jamvini.babukijana na cheusimangala what is going on btn you two,mnachochote cha kuelezea uma.kuna kitu nimegundua,niseme nisisemee.
na mimi huu mchakato wa cheusi ukiisha naanzisha thread ya kutafuta mchumba.
Nikaingia kanisani,nkapiga magoti kimya nkaanza kusali kuomba mola afungue npate jiko. Gafla nkasikia m2 anaongea kumbe ni Roho mtakatifu: Kijana,nimetumwa na Mungu baba kuleta majibu ya sala yako,vigezo ulivitaja zimepatikana. Umtafutaye ametangulia jamvini! Nkauliza mbona nimetoka uko sjamwona? Akajibu,rudi jamvini utakuta kafika tayari,ukifika kaa kimya,mola atamchokoza mpaka aongee. Nilipofika nkakaa kimya,sasa nasikia sauti ya cheusi,sasa sijui ndiye? Ila nkarudi kanisani kuhoji sasa ivi,ee mola mbona mi sna shati ya ktenge ila cheusi kaona ktenge? Akasema "tulia bado antenna ya cheusi inashika chenga,ilo si shati la ktenge,shati lako la drafti,antena ikitulia atakuona vzuri" sasa nakaa kimya ili antenna ya cheusi inase vizuri. Nimeamsha mkono wa kulia juu kama antena haitotulia basi angalia mkono ulioamshwa juu cheusi au ukiishia kuona shati kitenge,basi mstue queen kami afuate nyuma yako anaweza kuniona nilipo! Mi nko apa kushoto jamvini,karibu na meza ya MOD ,apa anapokaa timekeeper! Unaniona?
Nililala usiku nikaota nakula chapati na karanga nlivyoamka asubuhi nikakuta nimekula godoro na blanketi..... hizi ndoto sio lakini best wishes dada yangu cheusi, halafu kama nakufaham vile, anyway, wakikuzingua "run for ur life"
wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angle,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL