cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
- Thread starter
- #181
Nakutumia picha yangu kukuthibitishia kama ni mimi.
nilishaamni kuwa ni wewe lkn itume tu,naisubiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutumia picha yangu kukuthibitishia kama ni mimi.
Ati anaomba na wewe umtumi ya kwako lakini uwe umeipiga kwa nyuma.....................nilishaamni kuwa ni wewe lkn itume tu,naisubiri.
Ati anaomba na wewe umtumi ya kwako lakini uwe umeipiga kwa nyuma.....................
mjumbe hauwawi............LOL
hapo ndo umenichanganya,sasa wewe ndo ulipatia kama Daniel au wewe ndiye aliyevaa 4 angle na shati la kitenge.
napata hisia kuwa u buheri wa afya.
Ati anaomba na wewe umtumi ya kwako lakini uwe umeipiga kwa nyuma.....................
mjumbe hauwawi............LOL
Bro mbona unataka kuniharibia ? mi nilishamuona kwenye ndoto na kakubali kufanana na huyo wa ndotoni sihitaji picha hata nikimuona gizani namfahamu.
Ati anaomba na wewe umtumi ya kwako lakini uwe umeipiga kwa nyuma.....................
mjumbe hauwawi............LOL
Basi, laleni....kila kitu kwa kiasi.....lol
Bro mbona unataka kuniharibia ? mi nilishamuona kwenye ndoto na kakubali kufanana na huyo wa ndotoni sihitaji picha hata nikimuona gizani namfahamu.
Kaizer halali mtu hapa si unaona wanataka kuni-Slaa hapa baada ya mimi na Cheusi wangu kuafikiana.
hahahaa,mkuu una-addopt cheo cha rev masa??haya bana nakupasia glass hiyoView attachment 17569
hiyo picha yakupigwa kinyume nyume sijui utakua unataka kuipeleka wapi sababu Uporoto keshaoneshwa jinsi nilivyo nyumba mbela na pembeni,hivyo haitaji picha.yeye tu ndo kapenda kunitumia kama ishara ya kuchipua kwa penzi letu.una la zaidi?
wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angle,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL
Wera wera! WAAATU PEEEOOOPLE!
Mie nikadhani na wee wampenda kumbe...............hiyo picha yakupigwa kinyume nyume sijui utakua unataka kuipeleka wapi sababu Uporoto keshaoneshwa jinsi nilivyo nyumba mbela na pembeni,hivyo haitaji picha.yeye tu ndo kapenda kunitumia kama ishara ya kuchipua kwa penzi letu.una la zaidi?
Basi wacha nilale na cheusi wangu sasa....dah kwa hiyo tu....sio mchezo....Rev Masa remains to be the only rev here..
Kwanza upo DOBO, aklafu nimekuona HUNIFAI!!! kumbe unamuangalia mwanaume kwa jisi na raba?? nenda kwa Mh sugu....[/QUOTE]
asante kwa ushauri my dear.
Mie nikadhani na wee wampenda kumbe...............
hahahaa,mkuu una-addopt cheo cha rev masa??haya bana nakupasia glass hiyoView attachment 17569
Rrrrrrrrrrright man I am out............. sijui nanihii wangu yuko wapi ....hajaam bado.............ngoja nipige chabo!We Denzel look-alike just let it go man mbona wako wengi tu hata hapa JF unakaba hata penalty ?