Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Mshahara unashawishi kuibiwa. Walinzi wengi magodauni huko wanageujaga kuwa wezi. Mlinz anashirkiana na wezi kukuibia ...Nikija hapo dukani Ni kuiba na kusepa tu [emoji23]
Imagine mtu analipwa laki na 20 au 50 mwez mzima anaishi vipi na ana familia?. Kwa nn asiibe?