Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Mar 24, 2024 #21 Pain killer said: Nikija hapo dukani Ni kuiba na kusepa tu [emoji23] Click to expand... Mshahara unashawishi kuibiwa. Walinzi wengi magodauni huko wanageujaga kuwa wezi. Mlinz anashirkiana na wezi kukuibia ... Imagine mtu analipwa laki na 20 au 50 mwez mzima anaishi vipi na ana familia?. Kwa nn asiibe?
Pain killer said: Nikija hapo dukani Ni kuiba na kusepa tu [emoji23] Click to expand... Mshahara unashawishi kuibiwa. Walinzi wengi magodauni huko wanageujaga kuwa wezi. Mlinz anashirkiana na wezi kukuibia ... Imagine mtu analipwa laki na 20 au 50 mwez mzima anaishi vipi na ana familia?. Kwa nn asiibe?
chase amante JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 5,599 Reaction score 2,115 Mar 29, 2024 #22 Shenzi