Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usjli mkuu utapataNina 25 age,nimepanga nina kila kitu ndani kwanzia sofa,tv tena DStv,nyumba ni self tena ina tiles ila sijakamilika kitu kimoja sina manzi au demu wa kuishi nae humo ndani…Hivyo basi Kama una dada au mdogo age yake chini ya 22,mweupe ana sura nzuri karibu inbox.Mara nyingi huwa nachagua sana na mimi huwa napenda mwanamke kidogo elimu ipo,nilikuwa na demu hata ngeli ya kimahaba hana so kama kuna msichana mwenye vigezo hivyo karibu.
Tumia mitandao ya kijamii kutafuta madem, kama fb etcMuda wa kuzungukia sina Nipo busy,na wengine wanaringa Sema hawanijui vzr
Ulimi tofali😂😂😂😂😂😂😂😂Kwa style hii hata kula kwa masihara hupati. Hapo kanunue mafuta na sabuni uongezee kwenye list yako ya vitu unavyomiliki ili uwe unayatumia kwa huu u-far-lah wako.
Huoni hata aibu kuulizia dada za watu?
Domo zege ulimi tofali. Faken!🤧
Dadekii ndege John unakula maisha tuMkuu Kama uno serious kweli nataka nikupatie mtoto wa kimakonde au kimwera ambaye licha ya kukupikia kila siku na kukufulia pia atakuwa anakupa mapenzi mengi mpk uchanganyikiwe...mchawi pesa ya barua TU 50000,kanga ya mama mkwe na mazaga zaga kidogo Kama zawadi na wewe utambulike kwao Basi Tena wengi waislam atabadili kuja KWAKO Kama we mgalatia..week hiohio mnaanza maisha nakutafutia bonge ya pc huko rondo kwa kina bernad membe Kama uko serious njoo PM.nilikuwa na shida Kama yako Nika isolve vzr tu.
Namtafutia mtoto mbichi wa mwaka 2005,2006...yeye TU tatizo lake anataka wa KUWA na elimu hapo ndo anapobugi hajui MWanamke mtamu NI yule wa kumpita kila kitu.baadae wakitulia naye anamfungulia mradi mdg wa ujasiriamali.mtoa maada ye anataka wa kusoma Sana baadae aletewe dharau au ye kaenda site kikazi mwali Huku naye kapata semina siku nne kwanini maboss wake wasimnyenge?Dadekii ndege John unakula maisha tu
Ni kweli kabisaNamtafutia mtoto mbichi wa mwaka 2005,2006...yeye TU tatizo lake anataka wa KUWA na elimu hapo ndo anapobugi hajui MWanamke mtamu NI yule wa kumpita kila kitu.baadae wakitulia naye anamfungulia mradi mdg wa ujasiriamali.mtoa maada ye anataka wa kusoma Sana baadae aletewe dharau au ye kaenda site kikazi mwali Huku naye kapata semina siku nne kwanini maboss wake wasimnyenge?
Nina 25 age,nimepanga nina kila kitu ndani kwanzia sofa,tv tena DStv,nyumba ni self tena ina tiles ila sijakamilika kitu kimoja sina manzi au demu wa kuishi nae humo ndani…Hivyo basi Kama una dada au mdogo age yake chini ya 22,mweupe ana sura nzuri karibu inbox.Mara nyingi huwa nachagua sana na mimi huwa napenda mwanamke kidogo elimu ipo,nilikuwa na demu hata ngeli ya kimahaba hana so kama kuna msichana mwenye vigezo hivyo karibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amekwambia amebakisha kitu kimoja tuKuwa na ivyo vitu ndio umemaliza maisha
Me Nisha date na demu wa kila levelNi kweli kabisa
Hii formula yako naichukua
Mwanamke unatakiwa umzidi kila kitu
Subiri ukue kue kidogo mkuu.Kwa kuanzia Sio vibaya kama naweza lipa kodi ya nyumba laki moja na nusu naamini naweza miliki mtoto mzuri
Naona unamuingiza bwana mdogo kwenye mfumo,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu Kama uno serious kweli nataka nikupatie mtoto wa kimakonde au kimwera ambaye licha ya kukupikia kila siku na kukufulia pia atakuwa anakupa mapenzi mengi mpk uchanganyikiwe...mchawi pesa ya barua TU 50000,kanga ya mama mkwe na mazaga zaga kidogo Kama zawadi na wewe utambulike kwao Basi Tena wengi waislam atabadili kuja KWAKO Kama we mgalatia..week hiohio mnaanza maisha nakutafutia bonge ya pc huko rondo kwa kina bernad membe Kama uko serious njoo PM.nilikuwa na shida Kama yako Nika isolve vzr tu.
Kuishi namwanamke Raha Sana kulaliana miguu na mapaja ghafla mnajikuta mshalowana mshaingiliana.hata ukienda kuoga unakuwa umeoga kihalali..ukila ugali mkubwa wa kushiba unakuwa umekula kihalali...Naona unamuingiza bwana mdogo kwenye mfumo,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
N kweli lkn huyu bdo utoto mwingi eti,Kuishi namwanamke Raha Sana kulaliana miguu na mapaja ghafla mnajikuta mshalowana mshaingiliana.hata ukienda kuoga unakuwa umeoga kihalali..ukila ugali mkubwa wa kushiba unakuwa umekula kihalali...