Anapaswa alipwe kiasi gani?Mshahara Mdogo Sana huo 60×12 = 720K this is hell
Inahitaji moyo sana
YeahMuongee Hata Kidogo Hapo Fanya Hata 100K Gharama Za Maisha Zimepanda
WaTz kuna vitu basic sana hawaelewi, 😅 Mtu aliyenyanyaswa si wakuwa naye karibu tena umkabidhi familia yako.Anayenyanyaswa wa nini kama sio kujitafutia trauma za bure
150K ndo sahihi ili apate hata kufanya saving hata kidogo.Anapaswa alipwe kiasi gani?
WaTz kuna vitu basic sana hawaelewi, 😅 Mtu aliyenyanyaswa si wakuwa naye karibu tena umkabidhi familia yako.
People are real traumatized, ukimkosea kidogo tu kibinadamu ndio utaijua rangi yake halisi. Mimi nikipata msichana hawezi kuwa ananihadhithia how bad was her former bosi na nikamuintertain, sembuse nijue kabisa ametoka manyanyasoni na nimchukue.
Kumsaidia mtu wa hivyo labda kumtafutia kazi kanisani ili aweze kuheal trauma.
Mbona hamuwaombei walimu wanao lipwa laki tatu waongezewe?Muongeze Hata Kidogo Hapo Fanya Hata 100K Gharama Za Maisha Zimepanda
very wise of you mkuu wanguUnaweza kunmpa therapy and the best therapy ni kumpa UPENDO Genuine then kumjenga kihisia ili kuwa na positive emotions.
Then usimfanye ajihisi yeye ni mfanyakazi Bali member of the family.
Healing takes time but time heal the all wounded scars.
Then umpe na good payment .
Trauma hutokea na kuishi Kwa mtu ambaye hajui ladha ya UPENDO wa asili.
Dada yangu mzuri soma post #15 alichojibu DR HAYA LANDWaTz kuna vitu basic sana hawaelewi, 😅 Mtu aliyenyanyaswa si wakuwa naye karibu tena umkabidhi familia yako.
People are real traumatized, ukimkosea kidogo tu kibinadamu ndio utaijua rangi yake halisi. Mimi nikipata msichana hawezi kuwa ananihadhithia how bad was her former bosi na nikamuintertain, sembuse nijue kabisa ametoka manyanyasoni na nimchukue.
Kumsaidia mtu wa hivyo labda kumtafutia kazi kanisani ili aweze kuheal trauma.
hii nyumbani anakokwenda nina ushuhuda nao mzuri. waliwahi kumsaidia kikamilifu mdada wao wa kazi na kumsaidia mpaka akajifungulia nyumbani kwao akaishi na mwanae mpaka akatimiza mwaka. watu wakadhani labda mdada yule kazalishwa na mmoja wa wanafamilia ile. wangap leo wadada wakibeba ujauzito mnawafukuza?Cha kujiuliza kama huo ustaarabu unaodai unao mbona hauna mfanya wa ndani?Mpaka unatafuta aliyenyanyaswa yaani aliye desperate.Mshahara wa elfu 60 ungekuwa na binti ungeruhusu afanye kwa mshahara huo? Wacha kujidai unasaidia huku unaendeleza unyonyaji.