stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Na hivyo ndivyo inavyotakiwa,Mtu anaelea watoto wako, anawapikia misosi n.k ni lazima mumuoneshe upendo kwa kweli, jitahidi kumlea vema kadri kipato chako kinavyoruhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hivyo ndivyo inavyotakiwa,Mtu anaelea watoto wako, anawapikia misosi n.k ni lazima mumuoneshe upendo kwa kweli, jitahidi kumlea vema kadri kipato chako kinavyoruhusu.
Anajitegemea kila kitu au bado chakula na maradhi kwa mwajiri????Muongeze Hata Kidogo Hapo Fanya Hata 100K Gharama Za Maisha Zimepanda